Soko la Hisa DSE: Thamani ya Soko Yafikia Trilioni 18.5 kwa Mwezi wa Kwanza wa 2025
Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeonyesha nguvu kubwa mwezi Januari 2025, huku thamani ya soko (market capitalisation) ikiongezeka kwa asilimia 12 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Na Jubita Desk | 24 Jun, 2026