Sekta ya kibenki nchini Tanzania imeendelea kuwa imara na kutoa imani kwa wawekezaji.